Nicki Minaj kutumbuiza ndani ya SNL mwezi ujao



Mara baada ya takribani miaka 4 tangu atumbuize kwenye SNL (Saturday Night Live), Nicki Minaj anajiandaa kurudi tena katika stage ya SNL mwezi ujao huku akiwa katika maandalizi ya album yake mpya, The Pinkprint. 
Rapper huyu wa Young Money anatarajia kuonekana katika SNL mnamo December 6 mwaka huu katika show ambayo itakuwa hosted na James Franco. 

Angalia show yake ya mwisho aliyopiga kwenye kipindi hicho mnamo 2011..