J. Cole amsurprise shabiki nyumbani kwake na kumsikilizisha album yake mpya



Beyonce anaweza akawa aliandika historia kwa album yake ya kushtukiza lakini J. Cole na campaign ya 2014 Forest Hills Drive pia inawagusa wengi hususani die hard fans wake.

Cole hivi karibuni amemfanyia kama surprise mwanadada Dalia aishiye huko Dallas, kwa kwenda kumsikilizisha ngoma zake ambazo zipo katika album yake mpya itakayoitwa 2014 Forest Hills Drive.

Mwanadada huyo alimtweet mtu mzima Cole na kumuomba kumuona mara atakapokuwa jijini Dallas na Cole akamjibu kwa kumuomba address ya sehemu anapoishi.

Cole alitimiza ahadi yake na kwenda kumuona dada huyo nyumbani kwake na kuwatumbuiza yeye na familia yake album hiyo mpya inayotarajia kuingia sokoni December 9 mwaka huu.

Send me DM with your address I'll come play u the album. @DaliaDk@JColeNC: Dallas we hereeeeee” we gotta see you tonight 😭😭😭
— J. Cole (@JColeNC) November 19, 2014

We really bout to pull up to a fan's crib in Dallas to play the album. This is why Cole is COLE, man! #2014ForestHillsDrive
— RIKKI (@RikkiMaa) November 20, 2014

Dreamville just surprised die hard fan @DaliaDk at her crib in Dallas to show her the album! #2014ForestHillsDrive pic.twitter.com/rUhiB1cdzm
— RIKKI (@RikkiMaa) November 20, 2014

Much love to @DaliaDk - thank you for having us. Hope you enjoyed #2014ForestHillsDrive ❤️ pic.twitter.com/GeEyXM6iNa
— RIKKI (@RikkiMaa) November 20, 2014