Mpigie kura Cindy Rulz aweze kushinda Tuzo ya Kimataifa ya UMAs


Huu mwaka unaenda vizuri sana kwa wasanii wa Tanzania hususani katika upande wa Sanaa ya Muziki, sasa umefika muda mwingine tena ambapo Watanzania tuoneshe Uzalendo wa kumpigia kura Cindy Rulz.

Cindy Rulz amechaguliwa kuwania Tuzo za "Underground Music Awards" za nchini Marekani ndani ya jiji la New York. Category anayowania ni "Best International Artist"
Na unaweza kumpigia kura mara moja kwa siku na mwisho wa upigaji kura ni tarehe 10 September mwaka huu.

Ili kuweza kumpigia kura Cindy Rulz bonyeza hapa