(Video) Historia ya jezi za Man Utd kuelekea uzinduzi wa jezi mpya kwa msimu wa 2014/15 hivi karibuni.


Hii ni video fupi iliyotolewa na kampuni ya Chevrolet ambao ndio wadhamini wapya wa timu ya Manchester United ikionesha historia ya jezi katika klabu hiyo kwa misimu kadhaa iliyopita. 

Mpaka sasa timu hiyo haijatoa jezi mpya za msimu wa ligi kuu 2014/15 licha ya kuwa na picha kadhaa zilizovuja mitandaoni zikionesha jinsi uzi huo utakavyokuwa. 
Angalia picha hapo chini;
Embedded image permalink
Leaked Jersey