(Photos) Kituo kipya cha Radio masafa ya 93.7 kuleta ushindani kwa radio za Dar hivi karibuni.



93.7 ni masafa ya kituo kipya kabisa cha radio jijini Dar es Salaam ambacho kinatarajiwa kuanza kurusha matangazo yake hivi karibuni. Kituo hicho (hapo juu) kinachomilikiwa na kampuni ya E-Masters (kampuni inayomiliki kumbi za Maisha Club), kipo maeneo ya Kawe Beach na tayari studio zake zimekamilika tayari kwa kuanza matangazo. 

Tazama picha zaidi hapo chini (Picha kutoka DJCHOKAMUSIC.COM)






Labels: