SCANDAL: SIKILIZA SAUTI YA WEMA AKIBEMBELEZA PENZI KWA DIAMOND, PENNY AMPA MADONGO.

Diamond na Wema Sepetu will always make headlines. Wakati issue ya Irene Uwoya haijaisha, leo limeibuka jingine. Ni baada ya Wema Sepetu jana usiku kumpigia simu Diamond ambaye wakati huo alikuwa amepumzika na mwandani wake wa sasa, Penniel Mungilwa na wapenzi hao kumrekodi. Maongezi hayo yamerushwa kwenye You Heard ya Clouds FM.
YASIKILIZE HAPA NA WEMA ALIPOKEA VIPI MARA BAADA YA KUPIGIWA SIMU NA SOUDY BROWN

Labels: , , , ,