PICHA TATA ZA WEMA SEPETU ALIZO-POST KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM...

Miezi ya hivi karibuni magazeti ya udaku yamepunguza kumwandika vibaya Wema Sepetu lakini kwa picha hizi tunahisi yanaweza kuanza tena kwa kishindo! Hizi ni picha alizozipost kwenye mtandao wa Instagram na kuandika: "Gats to lose me a few more pounds!!" 
“Tsup wema…….ur such a beautiful and attravtive lady.my day is not ova without checking ur photos.wish to meet & spend a day with u,” ameandika mmoja wa watu waliona picha hizo. ...


Labels: