"SIWAPENDI WANAUME WANAOSHOBOKA NA UMBO LANGU"...AGNESS MASOGANGE


Msanii waq Bongo movie anayeuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva , Agness Gerald a.k.a Masogange amefunguka kuwa huwa hawafagilii wanaume au masharobaro wanaomshobokea kwa sababu ya umbo lake linalodatisha wengi.

Akiongea na mwandishi wetu, mrembo huyo alifunguka kuwa mwanaume yeyote anayedai kudata na umbo lake ni mzushi na wala hana mapenzi ya dhati bali ni uroho wa ngono tu unaotokana na jinsi anavyoniona nilivyojaliwa.



“Mwanaume wa kweli anakupenda wewe mwenyewe jinsi ulivyo na si umbo lako ndiyo maana mimi siwafagilii kabisa wanaoshoboka kwa ajili ya umbo langu,” alisema Agness.

Labels: