VIDEO YA UTUPU YA “AGNES MASOGANGE” YAVUJA MTANDAONI…!!



BAADA ya kuandamwa na skendo kibao za kutoka na vigogo kisura wa video za wasanii wa bongo, Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange, ameonekana kwenye mkanda wa picha ya ngono ambao umesambaa mtaani huku ikiwa dili kwa watu wanaotaka kuona umbo la mwanadada huyo.

Mkanda huo unaomuonesha mwanadada huyo akiwa mtupu, huku utata mkubwa ukizunguka kujua ni kitu gani kilichosababisha hadi


kusambazwa kwa video hiyo.


Mtandao wa DarTalk, ulifanikiwa kupata video hiyo ambayo mwanadada huyo ameonekana na kijana mmoja ambaye bado hajafahamika jina lake. Baadhi ya videos za bongo flava ambazo amewahi kuong’aa ni pamoja na ‘Magube gube’ ya Barnaba , Masogange ya Belle9 na nyingine nyingi.

Baada ya kupatatikana kwa video hiyo mtandao huu ulijaribu kumsaka Agnes ili kufafanua uwepo wake ndani ya video hiyo lakini hakuweza kupatikana kwenye simu yake ya mkononi.


Chanzo: DARTALK 

Labels: