
Young, fresh and talented kutoka Nairobi, kenya wanaojulikana kama
camp mulla wamevuka boda kwa kupeperusha bendera ya Africa kwenye Tuzo
za BET ambazo hufanyika kila mwaka ambapo mwaka jana africa
iliwakilishwa na 2face & D'Banj kutoka Nigeria sasa safari hii ni
vijana wenye swag za mbele ila kutoka kenya ndio wamechaguliwa katika
category ya "Best International Act: Africa category"
Kundi la Camp Mulla linajumlisha vijana wa 5 ambao ni Karun, Yung
Kass, Taio Tripper and K’Cous ambao kwasasa wana Hit na ngoma zao tatu
ikiwamo ngoma inayoitwa "fresh all day" ambayo wali perfome ndani ya Big
Brother Africa siku sio nyingi na kushangiliwa sana kwa show nzuri
walioitoa...